Fursa zakujiendeleza ni haba mno kwa sababu mahitaji yanazidi uwepo wa fursa hizo. Licha ya changamoto hiyo shirika la msaada kwa jina la Spur Afrika lenye asili ya Australia, lime anza kukabiliana na uhaba huo wa fursa hapo Kibera.
SBS Swahili ilizungumza na Bi Filda Akot kutoka shirika la Spur Afrika, na alitueleza jinsi shirika lake linavyo badilisha maisha yawakazi wa Kibera.
Share
