Bw Annan amekumbukwa kama, "sauti yakimaadili ya dunia".
Viongozi waomboleza kifo cha katibu mkuu wa zamani wa umoja wa mataifa Kofi Annan

Katibu Mkuu wa zamani wa Umoja wa Mataifa Kofi Annan katika ziara ya kasri ya Elysee, Ufaransa 2017. Source: AAP
Viongozi wa mataifa mbali mbali duniani wame toa heshima zao kwa, katibu mkuu wa umoja wa mataifa wa zamani Kofi Annan, ambaye ame aga dunia akiwa na umri wa miaka 80.
Share




