Viongozi hao wawili walihudhuria sherehe yakufungua kiwanda cha karatasi kinacho milikiwa na muAustralia, katika mji mdogo wa Wapakoneta ambao uko katika jimbo la Ohio.
Siku ya Bw Morrison iliendelea kwa safari ya ndege kuelekea Chicago ambako, atachangia mlo na gavana wa jimbo la Illinois.