Watch FIFA World Cup 2026™

LIVE, FREE and EXCLUSIVE

Mzozo wazuka kati ya Donald Trump na wazazi wa mwanajeshi Muislamu aliye fariki vitani

Familia ya Khan katika kongamano la chama cha Democratic
Familia ya Khan katika kongamano la chama cha Democratic Source: AAP

Mama ya mwanajeshi wa Marekani aliyekuwa Muislamu na ambaye ali uawa nchini Iraq, amemshtumu mgombea wa Urais wa chama cha Republican Donald Trump kwakuto elewa maana yakafara.


Published

Updated

By SBS Swahili

Source: SBS



Share this with family and friends


Mama ya mwanajeshi wa Marekani aliyekuwa Muislamu na ambaye ali uawa nchini Iraq, amemshtumu mgombea wa Urais wa chama cha Republican Donald Trump kwakuto elewa maana yakafara.


Madai hayo yame jiri baada ya Bw Trump kumkejeli mwanamke huyo kwaku simama kimya kando ya mumewe, alipokuwa akihotubia kongamano la wanachama wa Demokrats, kuhusu mwanao wakiume wiki jana.

 

 


Follow SBS Swahili

Download our apps

Listen to our podcasts

Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service

Stream now