Mweka hazina amesema gharama ya maisha kwa wa Australia ambao wako katika mazingira magumu itashughulikiwa, pamoja na nyongeza kwa mshahara kwa wafanyakazi wa huduma yawazee pamoja na huduma ya malezi ya watoto kwa bei nafuu.
Ila kwa kutokana na kupanda kwa mfumuko wa bei, na kukwama kwa mazungumzo kuhusu makazi yakijamii na afueni kwa kodi za nyumba, Jim Chalmers anakazi ngumu mbele yake.
Bonyeza hapo juu kwa taarifa kamili.