Watch FIFA World Cup 2026™

LIVE, FREE and EXCLUSIVE

Turnbull amlaumu Abbott kwaku dhoufisha serikali ya mseto katika matokeo mapya ya kura ya maoni

Former MP Tony Abbott
Former MP Tony Abbott Source: Picha: AAP

Malcolm Turnbull amemshtumu waziri mkuu wa zamani Tony Abbott kwaku athiri kimakusudi utendakazi wa serikali ya mseto katika matokeo mapya ya kura ya maoni yaliyo chapishwa hivi karibuni.


Published

By SBS Swahili

Presented by Gode Migerano

Source: SBS



Share this with family and friends


Malcolm Turnbull amemshtumu waziri mkuu wa zamani Tony Abbott kwaku athiri kimakusudi utendakazi wa serikali ya mseto katika matokeo mapya ya kura ya maoni yaliyo chapishwa hivi karibuni.


Serikali ya mseto kwa sasa imeshindwa na chama cha Labor kwa alama 10, serikali ikiwa na 45% ya umaarufu wakati chama cha Labor kina 55% ya umaarufu miongoni mwa wapiga kura, kwa mujibu wa shirika la Newspoll ambalo lili chapisha matokeo yake katika gazeti la The Australian jumatatu tarehe 27 mwezi wa 2 2017.

Matokeo hayo niya chini zaidi kwa tokea Malcolm Turnbull alipo chukua wadhifa wa Bw Abbot katika serikali ya mseto.

 


Follow SBS Swahili

Download our apps

Listen to our podcasts

Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service

Stream now