SKIP TO MAIN CONTENT

Turnbull apata ushindi wakisiasa katika wiki tata bungeni

Waziri Mkuu wa Australia Malcolm Turnbull akiondoka bungeni
Waziri Mkuu wa Australia Malcolm Turnbull akiondoka bungeni Source: AAP

Published

Updated

By SBS Swahili

Source: SBS



Skip to podcast episode content
Serikali imefanikiwa kuboresha bajeti kwa bilioni 11, baada yaku afikiana na chama cha Labor katika sera ya mapato yawa staafu pamoja na makato ya bajeti ndani ya Seneti.

Na wakati serikali inajivunia mafanikio yake, chama cha Labor kime mpoteza mbunge mwenye cheo kikuu.

 

 


Follow SBS Swahili

Download our apps

Listen to our podcasts

Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service

Stream now