Watch FIFA World Cup 2026™

LIVE, FREE and EXCLUSIVE

Utabiri wa ziada ya bajeti ya serikali ya Turnbull kuchelewa tena

Mwekahazina wa Australia Scott Morrison
Mwekahazina wa Australia Scott Morrison Source: AAP

Serikali ya Australia ime toa onya kuwa huenda bajeti isirejeshwe katika hali ya ziada tena, kwa sababu ya kasi ya mapato kuongezeka polepole.


Published

Updated

By SBS Swahili

Source: SBS



Share this with family and friends


Serikali ya Australia ime toa onya kuwa huenda bajeti isirejeshwe katika hali ya ziada tena, kwa sababu ya kasi ya mapato kuongezeka polepole.


Serikali ya mseto inawa hamasisha ma seneta waisaidie kupitisha miswada muhimu katika vikao vya bunge katika wiki za mwisho wa mwaka, kwa ajili yaku saidia kukarabati bajeti.

 

 


Follow SBS Swahili

Download our apps

Listen to our podcasts

Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service

Stream now