Watch FIFA World Cup 2026™

LIVE, FREE and EXCLUSIVE

Turnbull aamrisha uchunguzi wa vizuizi vya vijana katika wilaya ya Kaskazini

Don Dale Youth Detention Centre in Berrimah, NT.
Don Dale Youth Detention Centre in Berrimah, NT. Source: AAP

Kanda ya video ime onesha watoto ndani ya kituo cha kizuizi cha vijana ambacho kiko mjini Darwin kaskazini ya Australia, waki adhibiwa kwa gesi yakutoa machozi.


Published

Updated

By SBS Swahili

Presented by Gode Migerano

Source: SBS



Share this with family and friends


Kanda ya video ime onesha watoto ndani ya kituo cha kizuizi cha vijana ambacho kiko mjini Darwin kaskazini ya Australia, waki adhibiwa kwa gesi yakutoa machozi.


Imeripotiwa kuwa idadi kubwa ya wavulana walio oneshwa katika kanda hiyo ya video, wame achwa wakiwa na matatizo mengi na wame elezea jinsi walivyo stahimili mazingira mabaya na adhabu mbaya, zilizo jumuisha kutengwa na wenzao wakiwa gerezani.

 

 


Follow SBS Swahili

Download our apps

Listen to our podcasts

Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service

Stream now