Waziri Mkuu Malcolm Turnbull ame wakosoa wakosoaji wake katika mrengo wa wahafidhina wa chana cha Liberal katika hotuba yake mjini London.
Bw Turnbull amesema nia ya mwanzilishi wa chama cha Liberals Robert Menzies, haikuwa kufanya chama chake kiwe chaki hafidhina na ameongezea kuwa mahala pazuri pakuwa nikatika mrengo wa kati wa siasa.
Share





