Katika maamuzi ya mwanzo ya Mh Rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania, ni kuruhusu mamlaka kuchunguza kwa kina ubadhilifu wa pesa ndani ya serikali uliopelekea kuzorotesha baadhi ya miradi ya maendeleo.
SBS ilipata fursa kuongea na wafanyabishara kujua maoni yao juu ya athari za ubadhilifu huo baada ya taarifa za mwanzo kukabidhiwa kwa Mh Rais Samia wa Tanzania.
Nawe waweza kushiriki nasi kwa kutoa maoni yako kupitia ukurasa huu