Takriban 96% yawa Australia wanao stahiki, wame andikishwa kupiga kura katika uchaguzi mkuu wa shirikisho mwaka huu.
Wa Australia wote wenye miaka 18 na zaidi, wanatarajiwa kushiriki katika mchakato huu wa lazima wakupiga kura na, wanaweza pewa faini wasipo piga kura.
Makala haya yana maelezo zaidi kuhusu jinsi mchakato wakupiga kura hutumika nchini Australia.
Taarifa kuhusu kupiga kura zinaweza patikana katika lugha nyingi zaidi ya Kiingereza na, hata katika taarifa zajamii za asili kuhakikisha kila mtu ana elewa mchakato huo.
Share






