Licha ya tangazo hilo kuwa siri la wazi kwa muda mrefu, hatimae Rais Uhuru Kenyatta alimtangaza mtani wake wa jadi Raila, kuwa anaye pendelea kurithi wadhifa wake nakuendeleza maendeleo nchini Kenya.
Tangazo hilo lilikuwa na maana pia kuwa matumaini ya kinara wa chama cha Wiper, Kalonzo Musyoka kuwania Urais wa Kenya, itabidi yasubiri kwa miaka mingine mitano, baada ya chama chake kujiunga katika mseto wa Azimio ambao utamenyana na mseto wa UDA katika uchaguzi mkuu.
Bonyeza hapo juu kwa taarifa kamili.