Uhuru: "Wanafunzi kuanzia darasa la kwanza hadi kidato cha 4 wata soma bila malipo"
Rais Uhuru Kenyatta na mgombea mwenza William Ruto wapokea cheti cha ugombea wa urais toka kwa mwenyekiti wa IEBC Wafula Chebukato Source: Picha: AAP Image/AP Photo/Sayyid Abdul Azim
Punde baada yakupewa cheti rasmi cha mgombea wa urais wa Kenya toka kwa tume ya IEBC, Rais Uhuru Kenyatta, aweka hatma ya serikali mikononi mwa wa Kenya katika eneo la COMESA Gardens jijini Nairobi.
Share




