Kundi la viongozi wa jamii mjini Melbourne linatoa mafunzo na mwongozo kwa kizazi kipya chawa Australia wenye asili ya Sudan Kusini, kupitia mchezo wa mpira wa miguu.
Mradi huo unawavutia mamia yawachezaji na watazamaji katika michezo kila wikendi, na ligi hiyo kwa sasa inawasaidia vijana kupata ajira na elimu, wanapo endelea kukabiliana na picha hasi ya jamii yao katika umma.
Share






