Seneta huyo wa chama cha One Nation, alivaa baibui bungeni kabla ya mjadala kuanza mjini Canberra, kuhusu kupiga marufuku mavazi yanayo fiche uso katika maeneo ya umma.
Hanson azua utata ndani ya Seneti
Kiongozi wa chama cha One Nation Pauline Hanson ndani ya Seneti, Canberra Source: Picha: AAP
Kiongozi wa chama cha One Nation Pauline Hanson ametetea hatua yake yaku ingia bungeni akiwa amevaa baibui akisisitiza hatua hiyo ili husu usalama wa taifa.
Share




