Utafiti waonesha mitindo ya kukodi

Mabango yaku kodi nyumba, nje ya jengo mjini Sydney. Source: AAP
Utafiti mpya unao fanywa na chuo cha Adelaide, unatoa ufahamu wa kwanza halisi kwa nani anakodi nyumba Australia, kwa nini wanakodi nyumba na mazingira gani nyumba wanawazo kodi zimo.
Share