Utaratibu waku fanyiwa vipimo vya coronavirus ni upi?

Afisa wa afya achukua sampuli ya vipimo vya Covid-19 ndani ya mdomo wa mwanamke Afrika Kusini.

Afisa wa afya achukua sampuli ya vipimo vya Covid-19 ndani ya mdomo wa mwanamke Afrika Kusini. Source: AP

Serikali zamajimbo na mikoa nchini Australia, zimeruhusu watu wengi zaidi wafanyiwe vipimo vya coronavirus.


Je utaratibu wakufanyiwa vipimo hivyo ni upi, na baada ya sampuli kuchukuliwa ni hatua gani hufuata kubaini kama una virusi hivyo au la?

Elizabeth Muruka ni mwanasayansi anaye fanya kazi katika maabara yahospitali moja mjini Canberra, Australia.

Aliwekea wazi idhaa ya Kiswahili, hali inavyokuwa ndani ya maabara punde tu sampuli hizo zinapo wasili.


Share
Follow SBS Swahili

Download our apps
SBS Audio
SBS On Demand

Listen to our podcasts
Independent news and stories connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians.
Ease into the English language and Australian culture. We make learning English convenient, fun and practical.
Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS
SBS World News

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service