Wasanii hao chipukizi mara nyingi huwa ni wasanii huru, huwa wanavutia umati mkubwa wa mashabiki bila msaada wamakampuni makubwa ya muziki, kupitia teknolojia ambayo imesawazisha uwanja wa burudani.
Parramatta na vitongoji vinavyo ikaribia, vinajulikana kwa utofauti wa jamii zake na utofauti huo huja na sauti mpya.
Kwa watu wengi kitongoji hicho, ni kiingilio cha nusu ya eneo la magharibi ambako mji huzama ndani ya tamaduni mbali mbali, pamoja na mazingira ya jamii zawafanyakazi. Bonyeza hapo juu kwa taarifa kamili.