Michuano ya mpira wa miguu ya kombe la Afrika jimboni NSW, yalinusurika kutofanyika kwa sababu ya vizuizi vya UVIKO-19.
Idhaa ya Kiswahili ya SBS, ilihudhuria michuano hiyo nakuzungumza na baadhi ya washiriki wa michuano hiyo katika viwanja vya mazoezi vya Western Sydney Wanderers FC.