Serikali ya Labor inatarajiwa pia kuwasilisha muswada wayo wa nyumba, ambao umekwama ndani ya seneti na pia itawasilisha muswada wakuongeza malipo ya Jobseeker.
Mawaziri wa zamani wa chama cha Liberal wamejibu shtuma za makosa dhidi yao walipokuwa mamlakani, muda mfupi baada ya vikao vya bunge kuanza baada ya likizo ya wiki tano.