Ma bara ya Afrika, na Amerika Kusini ndiyo tu ambayo hayana uwakilishi wakudumu katika baraza la usalama la umoja wa mataifa. Bara la Asia nilawakilishwa na China, wawakilishi wa Ulaya wakiwa: Ufaransa, Uingereza na Urusi na mwanachama wa tano wakudumu katika baraza la usalama ni Marekani.
Kongamano hilo lili jadili pia mbinu zaku kabili usambaaji wa maambukizi ya virusi vya UVIKO-19, upatikanaji wa chanjo za UVIKO-19 pamoja na migogoro inayo endelea kuzikabili baadhi ya nchi barani Afrika, wenyeji wa kongamano hilo Ethiopia wakiwemo katika orodha hiyo.
Ungana na mwandishi wetu Jason Nyakundi kwa taarifa hii.