Moja ya majeruhi hao maarufu ni klabu ya mpira wa miguu ya Chelsea FC inayo milikiwa na Mrusi Roman Abramovich.
Imeripotiwa kuwa Bw Roman Abramovich ni mshiriki wakaribu wa Rais wa Urusi Vladimir Putin, hali ambayo imefanya serikali ya Uingereza iweke vikwazo kwa mali zote anazo miliki kote duniani Chelsea FC ikiwa moja yazo.
Mchambuzi wetu wa michezo Bw Herbert Gatamah, aliweka wazi madhara ya vikwazo hivyo, kwa Chelsea FC na hatma ya timu hiyo katika siku zijazo. Bonyeza hapo juu kwa taarifa kamili.