Kwa macho yanayohusika na shughuli zetu za kila siku, na asilimia tisini na tatu ya zaidi ya watu wenye umri wa miaka 55 wameathiriwa na shida ya kuona vizuri kwa muda mrefu, wataalam wanasema ni muhimu usiachie hadi kuchelewa sana.
Tembelea Vision Australia au kwa maelezo Zaidi juu ya upofu na uwezo mdogo wa kuona. Angalia mtandao wa Macular Disease Foundation kwa maelezo zaidi juu ya dalili za kuzorota kutokana na umri.