Imekadiriwa kuwa kati ya 10-15% ya wazee hukabiliwa na hukabiliwa kwa matatizo ya msongo wa mawazo.
Dalili zake ni gani na unaweza anza mazungumzo vipi na mtu ambaye una jali?
Kama wewe binafsi ama mtu ambaye unamjua ana kabiliwa kwa maswala yaliyo jadiliwa katika makala haya, unaweza pata taarifa ya ziada kwaku tembelea tovuti za mashirika yafuatayo: SANE Australia www.sane.org, Black Dog Institute www.blackdoginstitute.org.au, Lifeline www.lifeline.org.au, au beyondblue www.beyondblue.org.au
Unaweza hudumiwa kupitia simu, ukipigia shirika la Lifeline kwa namba hii: 13 11 14, shirika la Mensline Australia huwa hudumia wanaume wa umri wa wowote.
Unaweza wasiliana na shirika hilo kwa namba hii 1300 789 978, pia unaweza wasiliana na shirika la beyondblue kwa namba hii 1300 22 4636. Unaweza pata msaada wa ukalimani pia bila malipo, kwaku pigia simu shirika la TIS kwa namba hii 131 450