Na muda unao hitajika kwa watu ambao wana zaidi ya umri wa miaka 55, wanao tafuta ajira, muda huo unaweza fika hata wiki sita.
Viva: Ukosefu wa ajira katika umri wa miaka 55

a woman searches for jobs on a computer Source: AAP
Utafiti mpya wa kituo cha ubora wa kazini cha chuo cha Kusini Australia, umebaini kuwa takriban theluthi moja ya watu wazima wanao tafuta kazi, hukabiliana na swala la ubaguzi wa umri, wanapo tafuta ajira.
Share




