Kwa wengine ambao wanavutiwa na jinsia moja, inaweza kuwa maisha ya mkanganyiko na yenye usumbufu.
Ikiwa wewe au mtu unayemjua anakabiliwa na msongo wa mawazo au wasiwasi, unaweza kupiga simu zifuatazo za ushauri: beyondblue namba 1300 22 4636, Lifeline 13 11 14, au Q Life ambayo inasaidia watu wa LGBTI kila siku kuanzia saa 9 alasiri hadi usiku wa manane kwa namba 1800 184 527.
Ikiwa unahitaji msaada wa lugha, unaweza kupata mkalimani kwa kupiga TIS namba 13 14 50, na uombe kuungana na huduma yako uliyopewa ya kusaidiwa. Piga namba 000 mara moja ikiwa maisha ya mtu yamo hatarini.