Na nguo ambazo hazijavaliwa sana zimejaa katika mataka ardhini.
Viva: ununuzi endelevu ni bora kwa mazingira

Mwanamke atazama nguo ndani ya duka la nguo Source: Hero Images
Takribani mavazi mapya bilioni mia moja yanatengenezwa kila mwaka kukidhi mahitaji ya watumiaji wa ulimwengu.
Share