Wapiga kura waadhibu upinzani katika uchaguzi wa Victoria

Jamii ya warundi wa Victoria wajifunza jinsi yakupiga kura, kabla ya uchaguzi mkuu Source: Mireille Kayeye
Hesabu ya kura inapo endelea, chama cha Labor cha Victoria kina tarajia kushinda zaidi ya viti 61 katika bunge lenye viti 88. Wapiga kura walio shiriki katika uchaguzi huo, walizungumza na SBS Swahili kuhusu uzoefu wao na matarajio yao toka kwa serikali teuli ya Labor.
Share




