Watani hao walipoingia dimbani Jumapili, nidhamu na ustadi wakucheza soka uliwekwa kando. Badala yake wachezaji kadhaa walionekana kwenye runinga wakikunjana baada ya mmoja wao kuchezewa rafu.
Wachezaji wa PSG na Marseille wakunjana, adhabu kali zatarajiwa

Wachezaji wa PSG na Marseille wazichapa Source: The World Game
Mechi kati ya PSG na Marseille zime zua hisia mseto nchini Ufaransa kwa miaka mingi.
Share