Katika wiki mbili zijazo, idadi yawafanyakazi takriban milioni 2.7 wenye kima cha pato la chini kote nchini, wata shuhudia ongezeko katika mishahara yao.
Hatuo hiyo imejiri baada y tume ya usawa kazini, kuamuru kuwa kima cha pato la chini kitaifa litaongezeka kwa 5.2%, nakuonesha shinikizo za sasa kutoka mfumuko wa bei unao endelea kuongezeka.
Kwa muda mfupi, inatarajiwa kuwa shinikizo ya gharama ya maisha itaendelea kuuma.
Share






