Miaka 13 baada ya mauaji hayo, wahanga na viongozi wa jamii hiyo, wana endelea kuwa shtumu baadhi ya wabunge wa Burundi kwaku amuru mauaji hayo, na wakati huo huo wana omba jamii yakimataifa iwatendee haki rafiki na jamaa wao walio uawa.
Wahanga wa mauaji ya Gatumba, waomba haki toka kwa jamii yakimataifa
Viongozi wa jamii yawanyamulenge Source: Picha: SBS Swahili
Imekuwa miaka 13 tokea mauaji yakimbari ya wana jamii yawanyamulenge, ndani ya kambi ya umoja wa mataifa katika mji wa Gatumba, Burundi.
Share
