Sifa hiyo ilijaribiwa hivi karibuni, wanachama wa jamii hiyo walipo alikwa kusaidia familia yamkenya mwenza, ambayo imejipata chini ya shinikizo kubwa.
Ndugu na rafiki wa familia husika, wali fafanulia idhaa ya Kiswahili ya SBS, masaibu yanayo wakumba wapendwa wao.