Bernard ali fafanulia Idhaa ya Kiswahili ya SBS, yaliyo wafikia wakati moto wa vichaka ulipo tishia kumwangamiza yeye na mkewe, pamoja na nyumba yao katika kitongoji cha Harrington ambacho kiko kaskazini ya jimbo la New South Wales, Australia.
Wakenya wapona moto wa vichaka jimboni New South Wales

Ndege yakabiliana na moto wa vichaka katika kitongoji cha Harrington, NSW Source: AAP
Bernard na mkewe ni raia wa Kenya, wawili hao wame jikuta katikati ya janga la moto wa vichaka.
Share