Baadhi yao hivi karibuni waliwasili nchini Uganda, ambako imeripotiwa kuwa watahudumiwa kwa muda na shirika la wakimbizi la umoja wa mataifa kabla yakupewa uhamisho katika nchi zingine.
Hata hivyo ujio wa wakimbizi hao nchini Uganda, ume zua hisia mseto miongoni mwa waganda ambako baadhi yao wana endelea kuhoji sababu ya serikali yao kukubali kuwapokea wakimbizi hao licha ya umbali wa taifa lao na Afghanistan.