Mmoja wa wajasiriamali hao ni Bi Wambui, ambaye alizindua kampuni yake ya mavazi ya Ga-Kenia inayo tengeza mavazi aina ya Jumpsuits.
Bi Wambui ali eleza SBS Swahili jinsi wateja walivyo pokea bidhaa zake, pamoja na mipango yake kwa kampuni yake.
Bonyeza hapo juu kwa mahojiano kamili.