Na mwaka huu kuna ongezeko la umuhimu kwa hoja hiyo, ni mwaka wa kwanza tangu watalii walipo pigwa marufuku kupanda eneo hilo takatifu.
Wamiliki wajadi washerehekea miaka 35, tangu walipo rejeshewa haki zamiliki ya Uluru

Mlinzi Lynda Wright (kushoto) na Mwenyekiti wa baraza la Uluru-Kata Tjuta Sidney James (kulia) waamkiana baada yakutekelezwa kwa marufukuyakupanda Uluru Source: AAP
Wamiliki wa jadi katika wilaya ya kaskazini, wanasherehekea miaka 35 tangu waliporejeshewa haki za ardhi ya Uluru.
Share