Australia bado inawaweka watoto wenye umri wa miaka 10 gerezani, licha ya kampeni ya muda mrefu yakuongeza umri wa uwajibikaji wa uhalifu.
Wanasheria wakuu wamajimbo wamekutana jumatatu 27 Julai, kujadili tathmini ya sera hiyo tata.
Share

Published
By Nakari Thorpe
Presented by Gode Migerano
Source: SBS
Share this with family and friends


