Ila, hadithi za wanajeshi kutoka P-N-G walio hudumu katika vita bega kwa bega na wanajeshi wa Australia ni gani?
Katika maadhimisho ya Anzac Day ya mwaka huu, watu kutoka Papua wata shiriki katika gwaride mjini Perth kwa niaba yamababu wao kwa mara ya kwanza kutambua kafara yao.