Wanasiasa mbali mbali nchini Kenya, walitumia siku ya mwisho ya kampeni kujaribu kuwavutia wapiga kura ambao walikuwa hawaja fanya maamuzi ya watakaye pendelea debeni Jumanne 9 Agosti 2022.
Mwandishi wetu Jason Nyakundi alitathmini kampeni zote nchini Kenya pamoja na makala mengine kutoka Afrika Mashariki katika makala haya maalum.