Washindi wote wa tuzo ya 2021 yamu Australia wa mwaka, ni wanawake kutoka tamaduni mbali mbali.
Wame pewa tuzo hizo, kwa huduma yao kwa jamii zawa Australia.
Na kwa mara ya kwanza katika historia yamiaka 61 ya tuzo hiyo, mkaazi wa Tasmania ametangazwa kuwa mu Australia wa mwaka.
Mapendekezo yamu Australia wa mwaka wa 2022, yako wazi kwa sasa. Na kama kuna mtu katika jamii yako ambaye unadhani, anastahili zingatiwa kupokea tuzo hizo, unaweza mpendekeza kupitia tovuti hii: australianoftheyear.org.au
Share






