Na wakati tisho hizo zikiwa bado hazija isha katika msimu huu, mamlaka wamesema wanakabiliana pia na changamoto nyingine inayo jificha, kwa namna yaku toa onya vizuri kwa jamii ambazo zina uelewa mdogo wa wa kiingereza.
Watuwenye uelewa mdogo wakiingereza, hupataje onyo sahihi za dharura?

Kupata taarifa sahihi kuhusu onyo za dharura, kunaweza okoa maisha Source: SBS
Kutoka kwa mioto mibaya ya vichaka, mlipuko wa coronavirus, na hatari iliyo sababishwa na mvua kali, msimu huu wa majira ya joto wa Australia, umekumbwa kwa dharura nyingi.
Share