Ila wawakilishi kutoka barazote wame kuwa wakipunguzwa mmoja baada ya mwingine, bara la Asia liki salia bila mwakilishi baada ya timu mbili za mwisho za bara hilo Japan na Korea Kusini kutupwa nje katika mechi zao za mwisho.
Robo fainali ya kombe la dunia nchini Qatar, itajumuisha timu 1 kutoka Afrika, 2 kutoka Kusini Marekani na timu 5 kutoka Ulaya.
Bonyeza hapo juu kwa taarifa kamili.