Waziri Mkuu amewashukuru wanajeshi wa Australia, wanao hudumu katika ukanda wa mashariki ya kati alipo tua mjini Dubai kwa muda aki elekea uhispania kushiriki katika mkutano.
Waziri Mkuu atembelea vikosi vya taifa Dubai akielekea katika kongamano la NATO

Waziri Mkuu Anthony Albanese, akutana na wanachama wa ADF katika kambi yakijeshi ya Al Minhad, UAE. Source: AAP Image/ LUKAS COCH
Wanachama wa serikali ya Waziri Mkuu Anthony Albanese, wanapokea kwa ukarimu ng’ambo kabla ya kongamano la NATO mjini Madrid wiki hii.
Share