Ilimbidi adhibiti mashaka binafsi pamoja na ongezeko la wimbi la shinikizo za matarajio kutoka kwa mashabiki wake pamoja na wakosoaji alipoanza safari ya kutimiza ndoto zake kuwa bingwa wa ndondi nchini Australia. Image
Bingwa wa ndondi za WBF Bruno Tarimo afunguka kuhusu mafanikio yake

Bingwa wa WBF Bruno Tarimo na taji lake Source: Frank Mtao
Wengi walikuwa na mashaka kuhusu uwezekano wa bondia Bruno Tarimo kuwa na mafanikio, alipoondoka Tanzania kufuata ndoto zake za kuwa bingwa wa ndondi za WBF nchini Australia.
Share




