Inashangaza kuona mtu mmoja kati ya watatu hubadili mazoea ya kula kila mwaka.
Tumejifunza mbinu tatu maarufu za kupunguza uzito; Paleo, Atkins na kupunguza kiasi cha wanga,milo yenye mafuta mengi, na kuchunguza inamaanisha nini kwenye kundi la watu wenye umri Zaidi ya miaka hamsini.




