Wanao pokea msaada wa ustawi wanaweza mudu 6% tu ya nyumba zaku kodisha

Nyumba zaku panga mjini Sydney, Australia Source: AAP
Ripoti mpya ime baini kuna upungufu wa muda mrefu wa upatikanaji wa nyumba za bei nafuu, kwa wanao pokea malipo ya serikali.
Share




