Kampeni hiyo inajiri baada yakuwepo mpango, waku wafanyia vipimo vya mihadarati wanao pokea malipo ya ustawi.
Mageuzi ya malipo ya ustawi, yawekwa kwenye ajenda baada ya vikao vya bunge kuanza

Ofisi inayo toa malipo ya ustawi nchini Australia Source: AAP
Bunge lime anza vikao tena wiki hii na waziri mkuu Scott Morrison, anaongoza kampeni yakutumiwa kwa kadi ya malipo nchini kote badala ya hela taslim.
Share