Watch FIFA World Cup 2026™

LIVE, FREE and EXCLUSIVE

Masaibu ya uhamiaji

Bw Maurice Gikonyo ndani ya SBS za SBS Radio
Bw Maurice Gikonyo ndani ya SBS za SBS Radio Source: SBS Swahili

Published

Updated

By SBS Swahili

Source: SBS



Share this with family and friends


Kuelewa zaidi baadhi ya changamoto hizo, SBS Swahili ilizungumza na Bw Maurice Gikonyo, mtaalam wa IT ambaye alihamia nchini Australia hivi karibuni kutoka Kenya.

Bw Gikonyo alichangia mawaidha kuhusu jinsi yaku epuka kizuizi cha "kutokuwa na uzoefu wa kazi nchini Australia" ambacho huzuia watu wengi kupata ajira nchini.

Alichangia pia mawaidha ya jinsi mtu anaweza pata ajira anayo penda zaidi.

Changia maoni yako nasi: swahili.program@sbs.com.au

 

 


Follow SBS Swahili

Download our apps

Listen to our podcasts

Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service

Stream now