Licha ya Kenya kuwa na maendeleo mengi kisiasa, kijamii naki uchumi.
Hata hivyo vijana wengi, licha yakuwa wengi wao wame hitimu bado wanakabiliana na changamoto yakupenya katika soko la ajira.
SBS Swahili ilizungumza na baadhi ya vijana kutoka Kenya, ambao walichambua changamoto hizo pamoja nakujaribu kupata suluhu.
Share
